Nemobase.
Kuwa mjasiriamali wa kizazi kipya
Kuza biashara yako mara nne zaidi na punguza stress ukiwa na nemobase

App moja, biashara endelevu.

Bidhaa
Pata taarifa za biadhaa zako kwa ufanisi zaidi kabla hazijaisha. Fahamu bidhaa zinazouza zaidi na zisizouza. Fuatilia idadi ya bidhaa zako popote ulipo.

Wafanyakazi
Usiteseke kufuatilia wafanyakazi wako, Tumia akaunti moja,fuatilia zaidi ya mtu mmoja

Malipo na mikopo.
Tengeneza nafasi nzuri ya kupata mikopo na kupokea malipo kutoka popote duniani. Hivi karibuni.

Bei poa. Lipa utakavyo.
Jiunge bure.
Pata siku 9 za majaribio bila malipo, kisha furahia huduma zetu kwa gharama ndogo zaidi
Lipa kwa simu ya mkononi.
Lipia kwa urahisi kupitia mtandao wa simu ndani ya dakika 1 tu..
Hakuna gharama za ziada au makaratasi.
Wasikupige. Lipa gharama ya mwezi, wiki au miezi 3 tu. Usilipishwe gharama ya kujiunga tena au kununua vifaa vya gharama.
Rafiki yako Nemo.

Unatatizo? Wasiliana nasi hivi sasa.
2024 NEMOBASE, Inc
- Vigezo na masharti
- Sera ya usalama